PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI
Monday, November 9, 2015
Wednesday, November 4, 2015
Monday, June 8, 2015
Mahafali ya CCM chuo cha CBE yafana kuliko kawaida.
Aidha mgeni rasmi aliwasihi vijana wa chama cha mapinduzi kutojihusisha na mapenzi kwanza kabla hawajajiimarisha kiuchumi, pia aliwaasa vijana hao kuepuka ngono zembe na kuwa makini na afya zao, aliwahimiza kushiriki kikamilifu katika shughuli za ujenzi wa Taifa ikiwa ni pamoja na kujiandikisha katika daftari la kudumu ili wakati ukifika waweze kuchagua viongozi makini wa chama cha mapinduzi. Zungu alichangia fedha kiasi cha sh million mbili katika mfuko wa maendeleo wa chama cha mapinduzi chuo cha CBE, na kuahidi kushirikiana nao katika maswala yote ya kiuchumi kwa kuwasihi watumie elimu waliyonayo kujiajiri na akawaambia kuna fedha za mfuko wa maendeleo wa jimbo ambazo zinahitaji kutumika, hivyo vijana watumie vizuri fursa hiyo.
Comrade Emmanuel Mgonja akizungumza kwenye mahafali hayo
Comrade Mgonja amewasihi Vijana 1.kujitokeza Kwa wingi kwenye zoezi la kujiandikisha ili wakati ukifika wawe na haki ya kupiga kura.
2. Kushiriki kikamilifu katika shughuli za Maendeleo kwani Taifa linawategemea
3. Kusoma na kuielewa katiba pendekezwa ili ukifika wakati muafaka waweza kuipigia kura ya ndio.
4. Kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi ujao wakiwa na nia ya dhati ya kuboresha pale ambapo waliopita waliishia
5. Kutokubali kushiriki katika siasa chafu zenye uchochezi ambazo ni hatari katika Amani ya Taifa letu.
6. Kutokubali kutumiwa na viongozi wa vyama Vya upinzani katika vitendo viovu Kama maandamano yasiyo halali, kushiriki katika mbinu chafu za uhalifu na uvunjaji wa sheria.
7. Kutumia elimu waliyonayo katika kujiajiri na kukuza uchumi badala ya kukaa na kulalamika kuwa hakuna ajira.
Aidha comrade Mgonja alimaliza Kwa kusema kuwa atawania nafasi ya udiwani wa Kata ya Msasani. Na akawasihi wana cbe kumuunga mkono wakati utakapofika.
Furahia mapishi kwa kupata viungo vyenye ubora wa hali yajuu.
Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja, hivyo tunawakaribisha watu wote na wafanyabiashara ambao wangependa kufanya biashara hii wawasiliane nasi kwani ni biashara inayolipa sana na inaweza kuinua kipato cha mtu yeyote tena akianza kwa mtaji mdogo. mawasiliano; 0713651858/0713657501
Friday, May 15, 2015
UYOLE CULTURAL TOURISM ENTERPRISES
There are different tour programs offered by Uyole Cultural Tourism enterprises
Tours on offer includes.
- Hiking in Poroto Ridge Nature Reserve Mountains and Lake Ngozi
- A visit to the Safwa villages around
- Participation in culture and Safwa tradition dances “Mbeta”
- Mountain trekking at Loleza and Kawetile lift valley view
- Storry telling
- Kitulo national park tour
- Nature walking safari
- Local beer brew
Story Telling
You will meet people of different ages and get an opportunity to interact. Elder people “Wazee” without missing the Safwa chiefs who will tell you stories about the Safwa people, their origin, traditions and other things such as the tribal war.
Local Beer brew
Here you will get to learn all the procedures for making local beer “komoni, dadii and chimpumu” as someone will be demonstrating the materials and utensils used to prepare the local bear you will appreciate fantastic test of the beer which is served in a traditional calabash and you can drink it by using local straw called kinfwefwe
Nature walking safari
Discover wonders of natural environment through outdoor recreations for restoration of one’s well being though nature walking tour in and around Mbeya region with amazing landscapes, scenery, and vegetation
Traditional Dance
While you’re enjoying your stay in Mbeya you will experience a Safwa dance which is performed by a group of men and women performing songs for different occasions such as welcoming guests, ceremonial dances and crop harvesting songs.
FULL DAY
Lake Ngozi safari
On your exploring the world you will discover an exciting sight of outstanding natural beauty and superb hiking location, where you can find different species of flora and fauna such as monkey and many birds species, while hiking you will pass on Mporoto Ridge forest reserve; the forest has an endemic three horned chameleon (chameleon fuelleborni) and the area is covered by magnificent highland forest, beautiful flowers, huge trees, grassland and bamboo trees that make the visit of this place a truly unique experience.
Mountains climbing and trekking adventure
Enjoy the adventure experience through energetic activities by reaching the highest peaks of famous mountains and hills that includes Loleza and Kawetire where the highest truck road is found then Poroto Mountains. Being there you will enjoy the good view of the Great Lift Valley and the city.
Kitulo national park tour
Walking across the grasslands to watch birds, wildflowers and hill climbing on the neighboring ranges a half day hike from the park across the Livingstone mountains leads to the sumptuous Matema beach on Lake Nyasa.
Other tours includes: Farm activities, Cycling, A visit to the Chief of safwa people, A visit to the local extraction of building materials,
How to get there:
There are several ways used to get in Mbeya region such as through the use of Songwe international airport, TAZARA railway line and Dar es Salaam to Malawi and Zambia Highway. All transport systems may be used on the way from Dar es Salaam. Then travelers shall spend 3hrs from the airport, 1hr from TAZARA Station and 40min from the Bus station to the Destination.
Volunteer Programme
Uyole cultural tourism receives and arranges for volunteers who are interested to work in health and educational sectors around the areas.
CONTACTS:
Email: uyolecte@gmail.com
Facebook: www.facebook.com/ uyole cultural tourism enterprises
Phone: +255 (0) 783545464/ +255(0)766422703
Visit our office located at uyole ya kati opposite Neema sanitarium clinic
Monday, March 30, 2015
AMKA KIJANA USIBWETEKE
CHUMA USIPOKITUMIA KWA MUDA KINAOTA KUTU
Kwa wale ambao wamesoma chemistry japo kidato cha kwanza watakuwa wanaijua hii sentesi, hivyo ndivyo ilivyo na maisha ndivyo yalivyo.Tatizo sio mshahara mdogo, tatizo sio ajira hakuna, tatizo sio fursa, tatizo sio kusoma mchepuo wa hati au sayansi, tatizo sio wazazi wako, tatizo ni akili yako umeshindwa kuitumia sasa imeota kutu.
Hebu fikiria vijana wangapi wapo mtaani wanasubiri ajira leo mwaka wa tatu tangu wamalize chuo, nafikiri unakumbuka zile nafasi kumi za uhamiaji zilizotangazwa wakaenda watafuta kazi zaidi ya elfu kumi, ni kweli kusoma huenda haujui lakini hata picha huoni, yani hujiulizi nafasi kumi zinagombaniwa na wati 10000, hayo ni madhara ya kutokutumia akili vizuri matokeo yake imeota kutu bado unajipa moyo uendelee kukaa nyumbani ipo siku utapata kazi.
Amka kijana acha kuifanya akili yako kuota kutu mbona vipo vitu vingi vya kufanya tofauti na ajira, mbona zipo fursa nyingi wenzio tumezichangamkia na ajira imebaki story, hebu jiulize mara ya mwisho umesoma lini kitabu cha mtu aliefanikiwa, mara ya mwisho umehudhuria semina ya mafanikio na ujasiriamali, mara mwisho lini kuangalia video inayozungumzia mafanikio, huenda hata ninachokizungumzia hukijui.acha kuufanya ubongo wako kuwa na kutu halafu ukitegemea uwe na thaman.
Nikuulize na wewe ulieingia kwenye ajira tangu 2000 hadi leo akili yako inawaza NSSF ndio uanzishe biashara, utakumbuka shuka asubuhi imefika, huu ndio wakati wako wa kuanza kujipanga, hujasoma kitabu tangu utoke chuo, siku tofauti tofauti wenzio wanaenda kwenye semina na mikutano ya mafanikio wewe ndo unaseries za muvi, unadhani utafanikiwa kwa kuendelea kupiga kelele mshahara hautoshi? Fyuuuuuu😣😣😣 acha kulala wakati wenzio tumeamka.maisha yamebadilika, na fursa zimefunguka na watu tunazitumia.
Na wewe uliekata tamaa mapema ngoja nikuulize hivi dhahabu isipochomwa moto itang'aa, jibu unalo na maisha ndivyo yalivyo hakuna vitu rahisi, kila kitu unachokiona kinacholeta mafanikio kinachangamoto, kwanini unakata tamaa, siku zote watu wanaotumia akili zao vizuri hawachoki kutafuta kile wanachokitaka kwenye maisha yao hadi wakipate.Usichoke hata kama utatumia muda mrefu na utakutana na changamoto nyingi.
İ like this, u can also share with yo friends


























