Wanaume waliowengi hukidhi haja zao kwa kutuliza matamanio yao kwa njia
ya kujichua/ kupiga punyeto bila kufahamu madhara yake: Nikweli punyeto
inasaidia kupunguza hamu ya tendo na ni njia nzuri ya kujiepusha na
zinaa kwa kujilinda na maradhi ila kiukweli ina madhara na madhara yake
mara nyingi hutokea kwa mtu anaependelea sana kupiga punyeto, kutokana
na utafiti uliofanywa kisayansi
imeonekana punyeto ni nzuri kiafya ila endapo kama utakuwa unapiga mara
moja moja na sio kila siku. Napenda kuwashauri watu wanaopiga punyeto
wawe makini na wasiendekeze jambo hili kwani madhara yake ni makubwa
sana na Athari zake kubwa ni hizi zifuatazo:
1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME
2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO
3. Kupunguza uwezo wa kufikiri.
4. Kukosa nguvu katika magoti.
5. Madhara ya ndani ya sehemu za siri.
6. Kutofurahia tendo la ndoa.
No comments:
Post a Comment