PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Monday, June 8, 2015

Furahia mapishi kwa kupata viungo vyenye ubora wa hali yajuu.

Triple 'E' products ni watengenezaji na wauzaji wa viungo vya chai, viungo vya mboga, viungo vya pilau, viungo vya nyama, viungo vya samaki, unga wa lishe, unga wa mbegu za maboga, tangawizi ya unga, mdalasini wa unga, iliki ya unga, nk. Tunapatikana Dar es salaam- magomeni mapipa.
Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja, hivyo tunawakaribisha watu wote na wafanyabiashara ambao wangependa kufanya biashara hii wawasiliane nasi kwani ni biashara inayolipa sana na inaweza kuinua kipato cha mtu yeyote tena akianza kwa mtaji mdogo. mawasiliano; 0713651858/0713657501




No comments:

Post a Comment