PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Monday, December 15, 2014

Mke afumaniwa, amgeuzia kibao mume wake Polisi




Fununu zinasema jamaa huyo baada ya tukio hilo alimhoji mkewe kwamba
huyo aliyeingia bila hodi chumbani kwao wakiwa wamelala ni nani?
 
Baada ya jamaa huyo, Calvin Murapata kutoridhishwa na majibu ya mke
wake Nomagugu Ncube alimpiga na kumchania nguo, ambapo mwanamke huyo
alifungua mashtaka kituo cha Polisi, Zimbabwe.
 
Mwanamke huyo aliwahi kushinda taji la mitindo katika nchi hiyo,
amekiri kuwa na uhusiano na jamaa huyo aliyevamia chumbani humo kutokana
na mume wake kuwa busy.
 
Ncube amefungua mashtaka kudai fidia ya nguo alizochaniwa.

No comments:

Post a Comment