PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Sunday, December 14, 2014

Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi


k lyn
Mmiliki wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn)
Ilikua ni birthday ya bidada iliyofanyikia Dubai ndio mzee  akaamua ku propose kwa mlimbwende huyo…., nae bila hiyana alipoulizwa “Will you marry me” hakusita kusema “I do” Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinasema Bwana Mengi hajawahi kuwa happy kwenye mahusiano kama alivyo sasa yeye mwenyewe kakiri kuwa huyu binti kamuonyesha WHAT LOVE IS…

No comments:

Post a Comment