PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Wednesday, December 10, 2014

Wakazi wa Mbagala waaswa kufanya maamuzi sahihi uchaguzi wa serikali za mitaa.


wakazi wa mbagala waaswa kukichagua chama cha mapinduzi katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika siku ya jumapili tar 14/12. Akizungumza hayo, kijana machachari Emmanuel Mgonja alisema kuwa CCM ndiyo chama pekee ambacho kinastahili kuwepo madarakani na hivyo basi wananchi hawana budi kukipgia kura ya ndio ili kujiletea maendeleo katika maeneo yao.

No comments:

Post a Comment