PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Tuesday, September 9, 2014

MAFUNZO MAALUMU YA KUPUNGUZA UZITO KUTOLEWA DIAMOND PLAZA; 12/09/2014.


FAHAMU NAMNA YA KUPUNGUZA UZITO KWA NJIA SALAMA.
Kutana na Dada Felister Machange ambaye ameweza kupunza uzito wa kg 32. Ataendesha mafunzo maalumu ya namna unavyoweza kupunguza uzito na kumaintain.
Mafunzo hayo yatatolewa Diamond Plaza on Friday 12th September kuanza saa kumi na moja kamili jioni. Hii ni fursa ya pekee, upatapo ujumbe huu tafadhali mfahamishe na mtu mwingine. kwa mawasiliano zaidi piga +255713651858 / +255763071342.

No comments:

Post a Comment