Kilimo cha mchaichai kimewasumbua watu wengi, lakini sasa tumekuja na suluhisho. Tunatumia udongo tunaoutengeneza kwa kutumia mbolea taka tunayoisindika, hivyo kutumia ndoo kupanda mchaichai ambao utakuwa na mvuto na afya bora kwani utakuwa unapata virutubisho vya asili na hivyo kuufanya udumu kwa miaka mitatu.
Waweza kujipatia mchaichai wako na tukakuelekeza namna ya kuutunza na ukaendelea kutumia kwa matumizi ya kilasiku bila kuisha. Waweza kutumia eneo dogo na ukavuna mchaichai ambao utauza na kilamtu ataupenda kwa namna utakavyoukuwa na harufu na ladha nzuri pia. Kama ungependa kufahamu zidi au kupata huduma hii wasiliana nasi kwa namba 0713651858/ 0713657501.
No comments:
Post a Comment