PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Wednesday, July 2, 2014

MKAA WA KARATASI UNAODUMU MPAKA MASAA SABA

Huu ni mkaa wa karatasi ambao umetengenezwa kwa ujuzi wa hali ya juu, mkaa huu unadumu kwa masaa matatu mpaka saba baada ya kuwashwa na kutoa kiwango kilekile cha moto. unafaa kwa matumizi ya nyumbani, lakini pia kwa matumizi ya biashara. kama wewe ni mtumiaji mkubwa wa mkaa au kuni, sasa ni wakati wako kutumia fursa hii kupunguza gharama na kulinda afya yako kutokana na moshi. mkaa huu unatumia jiko maalumu ambalo pia kuna size mbalimbali kutokana na matumizi ya mteja.
 Hakuna haja ya kutumia mkaa unaotokana na miti kwani hata ubora na gharama ni tofauti kabisa. mkaa huu umetokana na karatasi zinazosindikwa kwa muda mrefu zikaondolewa kemikali. Kwa wamiliki wa shule, bakery, wenye migahawa, cafeteria, wakaanga samaki, wafanyabiashara wote wanaotumia mkaa au kuni na watanzania wote kwa ujumla, tulinde mazingira yetu kwa kupunguza matumizi ya mkaa na kuni. 
Tupo Dar es salaam, ofisi zetu zipo Mabibo. kwa mawasiliano nasi piga 0713651858 / 0798282182 / 0713657501 / 0798282181. emmanuel_mgonja@yahoo.com.







No comments:

Post a Comment