PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Monday, July 7, 2014

FAHAMU KILIMO CHA NDIZI ZENYE UBORA NDANI YA PLASTIKI.


Kilimo cha ndizi kimekuwa kikitumia muda mrefu ili mtu aanze kula matunda ya kazi yake, hii ni kutokana na ukosefu wa virutubisho vya asili vinavyohitajika, lakini pia watu wamekuwa wakitumia eneo kubwa na gharama nyingi ili kulima mpaka kufikia wakati wa kuvuna ndizi. 
Tumekuja na teknolojia mpya ambayo inamuwezesha mkulima kutumia miezi michache sana tangu anapo panda mpaka kuvuna ndizi, tena ndizi yenye afya kwani tunatumia virutubisho vya asili. Huhitaji kuwa na eneo kubwa ili ule ndizi, kilimo cha plastiki ni suluhisho kwako kwani tunatumia eneo dogo sana lakini litakupa matokeo makubwa. 
Kwa wale wenye mashamba ambao wangependa kulima kwakutumia teknolojia yetu, watavuna ndizi mpaka washangae.
Tanzania bila umaskini inawezekana. Wasiliana nasi kwa namba 0713651858/0713657501. Hizo ni baadhi ya picha za ndizi iliyopandwa kwenye chombo ikiwa ndogo mpaka ilipovunwa.




No comments:

Post a Comment