PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Monday, July 7, 2014

NAMNA YA KULIMA MAHARAGE KWENYE PLASTIKI.


Kilimo cha plastiki kinakuwezesha kulima hata maharage popote ulipo na ukavuna kuliko mtu ambaye amelima shambani. Hii ni kutokana na virutubisho vya asili ambavyo tunaviweka kwenye udongo tunaotengeneza kutokana usindikwaji wa mbolea. Ukiangalia maharage yetu hapo chini yamezaa mengi mara tatu zaidi ya maharage ya kawaida, kwasababu ya utaalamu tulio nao. Hii ni teknolojia mpya ambayo inalenga kubadilsha maisha ya watu wote kwani waweza kula vyakula asilia kwa gharama nafuu. Kwa wakulima ambao wangependa kulima kwa kupitia teknolojia yetu pia wanauwezo wa kuvuna kuliko kawaida. Wasiliana nasi kwa namba 0713651858/ 0713657501






No comments:

Post a Comment