PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Monday, October 8, 2012

WAJUE WANAUME HATARI HISPANIA





Hakuna utata juu ya uwezo wa Lionel Messi, Christiano Ronaldo na Radamel Falcao. wanaume hao watatu wamekuwa gumzo barani ulaya kwa namna ambavyo wamekuwa wakijua kucheka na nyavu kila mara wawapo uwanjani. mpaka sasa katika ligi ya Hispania , maarufu kama La Liga wanaume hao wanaongoza kwa kufunga magoli, huku kila mmoja akiwa na magoli nane katika ligi. Messi ameiwezesha Barcelona kuongoza ligi hiyo ikiwa na point 19. C. Ronaldo ameiwezesha Real madrid kuwa na poit11 ikiwa inashika nafasi ya 5. Radamel Falcao ameiwezesha timu yake ya A.Madrid kuwa na point 19 ikiwa katika nafasi ya pili. ushindani wao ni mkubwa sana na umekuwa ni mvuto kwa washabiki wa soka barani ulaya. Je, nani ataibuka kuwa mfungaji bora wa La liga?

No comments:

Post a Comment