PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Wednesday, February 25, 2015

Fahamu kuhusu Msasani ya kisasa itakavyo tengenezwa.

Kijana Emmanuel Mgonja ameamua kujikita katika kuleta mabadiliko kwenye eneo la Msasani.  Ameamua kuandika kuhusu namna ya kutengeneza Msasani ya kisasa. Usikose nakala yako, itakayotoka hivi karibuni ili kufahamu yaliyomo ambayo ni msaada kwa wakazi wa Msasani, lakini pia yafaa kutumika kuboresha Maeneo mengi katika Taifa letu.

No comments:

Post a Comment