PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Monday, January 19, 2015

KABULA AJUTA KUMPENDA BUSHOKE

Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda

BAADA ya hivi karibuni kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Maximilian Bushoke, msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kwamba hahitaji tena mwanaume kwa sasa.
Msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ akipozi.
Akipiga stori na paparazi wetu, Jini Kabula alisema kutokana na kwamba alikaa kwenye uhusiano wa kimapenzi muda mrefu na Bushoke na hakuona faida…
Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
BAADA ya hivi karibuni kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Maximilian Bushoke, msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kwamba hahitaji tena mwanaume kwa sasa.
Msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ akipozi.
Akipiga stori na paparazi wetu, Jini Kabula alisema kutokana na kwamba alikaa kwenye uhusiano wa kimapenzi muda mrefu na Bushoke na hakuona faida yoyote, anaujutia muda wake na sasa ameamua kuachana na masuala ya mapenzi na amejikita kwenye kazi zaidi.
Msanii wa Bongo fleva, Maximilian Bushoke.

“Nimegundua kwamba wanaume ni watu wanaonipotezea muda tu maana nilimsubiri Bushoke muda wote huo lakini alivyokuja Bongo akanipotezea hivyo nimeamua kujikita kwenye kazi zaidi,” alisema Jini Kabula.

No comments:

Post a Comment