PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Sunday, December 14, 2014

Tanzania kwenye rekodi nyingine kubwa Miss World 2014.........Ni Happiness Watimanywa…

Happyz iiiHappyz II Happyz IIii
Watanzania wameamua kwamba tukiamua tunaweza, good news kutoka
London Uingereza, ambako yanafanyika mashindano ya Miss World mwaka 2014.
Happiness Watimanywa, mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano hayo ameshare na sisi taarifa nyingine nzuri kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Happiness kaandika hivi; Hey guys. Siwezi amini kuwa tumefika namba 2. Tuongeze bidii maana nchi nyingine pia wako bize na kura. Lets do this Tanzania!!!! Naamini pamoja tutafika. #votevotevote #PigaKuraSasa#DownloadTheApp#HuuNiMwakaWetu“– @happinesswatimanywa
Happyz


Zoezi la upigaji wa Kura litasitishwa leo December 14, jioni ambapo Fainali hizo zitakuwa zinafanyika London, Uingereza.
Unaweza kuendelea kumpigia kura mshiriki huyo ili arudi na Taji la Miss World 2014.

No comments:

Post a Comment