PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Thursday, October 17, 2013

PAPAI NI TIBA YA AJABU

HIZI NDIZO FAIDA ZA PAPAI NA JUISI YAKE, INA
LYCOPENE INAYOPUNGUZA KANSA YA KIBOFU.

 Hizi ni baadhi ya faida ambazo unaweza kuzipata
kwa kula papai au kunywa juisi yake Papai lina fibrin ambayo hupunguza kuganda kwa
damu
Fibrin inaweza kuzuia kiharusi
Lycopene iliyomo katika papai inaweza kupunguza
hatari ya kansa ya kibofu
Mbegu za papai hutibu homa ya matumbo (typhoid)
Juisi ya papai huondoa sumu mwilini
Juisi ya papai hutibu vyema shinikizo la damu
Juisi ya papai husaidia kuzuia magonjwa ya moyo
Juisi ya papai ina folate, vitamini C na E ambavyo
huzuia saratani ya utumbo. Juisi ya papai hujenga kinga ya mwili. 

LIKE, COMMENT, NA SHARE KAMA UMEJIFUNZA NA
KUELEWA SOMO HILI.

No comments:

Post a Comment