PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Sunday, October 20, 2013

MUNGU HAKOSOLEWI

Jamaa mmoja alikuwa amepumzika chini ya mpera, ndipo akaanza kumkosoa Mungu.

Akasema '' Kwa kweli Mungu hakutumia akili kabisa, iweje aumbe mti mkubwa halafu aweke vitunda vidogo kama pera? Halafu mmea kama boga uwe na matunda makubwa?''

Mara akasinzia na pera likamdondokea na kumponda puani; ndipo akili ikamjia kisha akasema '' Kweli Mungu hachunguziki, laiti kama hili pera lingekuwa boga lingenipasua pua..!!''

Hakika katika haya maisha yetu usijaribu kwa namna yeyote kumkosoa Mungu kwa uumbaji wake.

No comments:

Post a Comment