Manchester city iliyokuwa incheza nyumbani dhidi ya sunderland imeibuka na ushindi wa 3-0. magoli yaliyofungwa na Aleksandar Kolarov 5', Sergio Aguero 60' na James Milner 89'. Ushindi huo unaifanya Man city kufikisha points 15, huku ikiwa imecheza michezo 7 ikifunga michezo 4 na kutoa droo michezo 3. man city inashikilia nafasi ya pili mpaka sasa.
No comments:
Post a Comment