PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Sunday, September 18, 2016

KIKI ZA TOWN waja na list nyimbo 20 boraza Bongo Fleva


Mtandao pendwa nchini Tanzania wa KIKI ZA TOWN umeanza utaratibu wa kuorodhesha nyimbo Ishirini ambazo zinapedwa na mashabiki wa bongo fleva.

Ambapo Mashabiki pia wanapata nafasi ya kuchagua nyimbo ambazo wanapenda ziwepo katika orodha hiyo iliyopewa jina la TOP 20 ZA TOWN.

INGIA HAPA KUIONA ORODHA YA TOP 20 ZA TOWN NDANI YA KIKI ZA TOWN KWA WIKI HII

No comments:

Post a Comment