PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Wednesday, December 3, 2014

Mdogo wake na Zari aponda uhusiano wake na Diamond, Zari asisitiza ni marafiki tu




Mdogo wake na Zari Hassan aka The Bosslady, aitwaye Karim ametumia
Facebook kumkosoa dada yake kwa kuwa na uhusiano na Diamond Platnumz
ambaye anamzidi miaka 9.

Kwenye post hiyo, Karim aliandika: You are ashaming us, how can you date a boy my age. You moved from one man to another in less than 3 days.”
 
Akitumia akaunti yake binafsi ya Facebook yenye jina ‘Zarinah Tlale’,
kujibu post hiyo ya mdogo wake huyo ambaye hapendezwi na kitendo cha
dada yake kuwa na uhusiano na mtu mwenye umri kama wake, Zari alisema
si Karim aliyeiandika.
 
“Diamond is just a friend of mine. It’s never been written that
female and male can’t be friends, it’s just the backward people that use
that kind of perspective to blow things out of proportion,”
aliandika.
zeetalk
10309502_10205619175663672_4957719935074097891_n
Katika hatua nyingine baada ya kumsindikiza Diamond kwenye tuzo za
Channel O, Jumamosi iliyopita, Zari alimpa kampani pia kwenye
utengenezaji wa video ya wimbo alioshirikishwa na kundi la Nigeria,
Bracket.
10174778_10205619176663697_8518468057469568560_n
Chanzo: Uganda Online

No comments:

Post a Comment