PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Monday, December 15, 2014

Hausigeli Aliyemtesa Mtoto Uganda Ahukumiwa Jela Miaka Minne


Hausigeli aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda,
amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.

Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia
kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.

Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.


No comments:

Post a Comment