PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Sunday, December 14, 2014

CHEK OUT AFTER SCHOOL BASH YATIKISA JIJI LA DAR


Umati wa watu waliohudhuria Tamasha la After School Bash eneo la Escape One jana.
Mashabiki wakiwaangalia wanafunzi waliokuwa wakionesha vipaji jukwaani.
Wasanii wa Kundi la Makomandoo wakionesha makeke yao jukwaani.
Wasanii kutoka TMK Wanaume Family, Mhe .Temba na Chegge wakitumbuiza wakati wa tamasha hilo.
Msanii Rich Mavoko akikamua jukwaani.
Mashabiki wakifuatilia burudani.
Mwanamuziki Tid 'Mnyama' akicheza na shabiki jukwaani.
Mtangazaji wa Clouds FM, Shadee akiwasherehesha mashabiki.
Mashabiki walishinda kwa kufanana na wasanii wakiwa kwenye pozi na Adam Mchomvu (kushoto). Kutoka kulia ni shabiki aliyefananishwa na Ngwea na katikati ni Diamond.
TAMASHA la After School Bash lililoandaliwa na Clouds Fm limeacha historia ndani ya Escape One, Mikocheni jijini Dar jana kutokana na bururdani za aina yake zilizokuwepo.
Wakali kibao wa muziki wa hapa nchini walihudhuria na kutoa burudani ya kufa mtu na kuzikongga vilivyo nyoyo za umati wa mashabiki waliofurika katika eneo hilo.
(PICHA NA MAYASA MARIWATA / GPL)

No comments:

Post a Comment