PATACHIMBIKA UWANJA WA TAIFA. JE, YANGA WATALIPIZA KISASI?
Maneno ya kujitamba yamezidi sana hasa pale kila upande unapojipa matumaini. Simba wanakumbukia kichapo kizito cha bao 5-0 walichowashushia Yanga.
Yanga nao wajitamba kulipiza kisasi ili kuwanyamazisha mahasimu wao wakubwa ambao ni simba.
Mpira dakika tisini, tusubiri tuone nani atakaeibuka kidedea.
No comments:
Post a Comment