PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Mahusiano

Dalili za mwanamke anayetembea nje ya ndoa au nje ya mpenzie
Kuna dalili nyingi ambazo zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna uwezekano mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu.

Maumbile
Viungo vya uzazi
Viungo vya mahusiano vya mwanamke kwa kawaida bila kuwa na matumizi ya mara kwa mara au muda mrefu husinyaa misuli yake, lakini inapotokea kuonekana mnapokutana amekuwa ni sawa na mlango wa kuingilia tembo wakati ulipokutana naye mara ya mwisho au mazoea ya kukutana alionekana kuwa na sawa ule mlango wa tundu la sindano lisilopenyeka kirahisi. Ujue anamahusiano nje yako.
Matiti
Kwa kawaida maembe huwa laini yanaposhikwashikwa, na pale yasiposukuwasukwa huwa magumu, na itokeapo huna mahusiano labda kwa safari au malezi ya mtoto na vinginevyo na kisha kukuta hali hiyo ujue kuna big baby anayetumia.

Mitindo na mazoea ya mahusiano
Pale inapojitokeza madai yasiyo ya kawaida kufanywa na kwamba bila hivyo hajisikii vizuri, jambo ambalo hakuzoea, na inapotokea anaonekana kama mzoefu wa mtindo huo, ni dalili tosha kwamba kuna anayemzoesha hayo huko aendako.

Watoto wadogo husaidia kutoa siri
Kumchongea mama kwa baba ingawa anachoongea huwezi kuelewa
Inapotokea kama ana mtoto basi baba anaporudi utaona hata kama ni mtoto wa umri wa miaka miwili na nusu and up anaonekana kuongea mambo ya kukueleza baba kwa mkupuo uanapofika tu kana kwamba anamchongea mama yake jambo ambalo halijazoeleka, mtoto anapoongea hivyo utamwona mama yake anamwangalia kwa makini sana ujue kuna kitu mtoto anakiona kisicho cha kawaida kinachofanywa na mamake.
Kushtuka na kulia amwonapo mtu anayehusiana na mamake pengine kabla haya akumwogopa
Kwa kawaida mtoto mdogo anaposhuhudia mtu asiye baba yake akifanya mambo hayo kwa mama yake anafikiri anamwadhibu, na kwa kawaida kama ni mtu wa karibu anapotembelea nyumbani utashtukia mtoto analia sana anapomwona mtu huyo humwogopa na kumkimbia, kitu ambacho si cha kawaida kwake, pengine anaweza akamfananisha na mtu anayemwona mara nyingi katika shuhguli hiyo, hata hivyo watoto makini sana kwa kunasa sura ya mtu kwa kawaida hawakosei.

Kutopenda kuondoka na mtoto
Inapotokea mtoto kuonyesha dalili hizo mama anaanza kuwa na mazoea ya kutopenda kutoka na mtoto anapoenda matembezini au shopping, hii ina maana kuendelea kuwa na mtoto pengine anavuruga malengo yake na watu wake. Ikumbukwe kwamba kabla hakuona shida kuondoka na mtoto ko kote aendako.

Kanisani au msikitini
Pamoja na kuwa na mazoea ya kwenda kanisani na kuwa mcha Mungu, inatokea hasa kwa wakristo wakatoliki au waanglikana wenye mazoea ya kushiriki komunyo anaanza kutoshiriki bila sababu za msingi. Baada ya hapo anaanza kutoshiriki ibada na moja kwa moja dhamiri inakufa kabisa hahudhurii kanisani, ni dalili tosha kwamba dhamiri inamshtaki na hivyo ameona bora kuendelea kujiburuza matopeni.

Kuondoka bila kuaga aendako
Kwa kawaida watu wanaoishi pamoja wanakawaida ya kuagana wapi mwenzake anaenda na iwapo inapotokea tatizo rahisi kufuatilia maelekezo aliyotoa kwamba wapi anaenda. Lakini ghafla utaona hapendi kabisa kuaga na pengine anakuwa na kawaida ya kuondoka ghafla kabisa na ukimwuliza anakuwa mkali na anakuambia tu naenda mahala nitarudi na hataki kumchukua mtoto. Ujue kuna kitu kinachoendlea huko aendako.

Zamu za kazi za usiku hasa manesi na wanajeshi
Wenye zamu za usiku inaweza kutokea maelezo ya overtime za mara kwa mara usiku. Ukivinjari maeneo ya kazi kutembelea kuona kama yupo kazini au la utakuta kama ana gari haionekana eneo la kazi. Jaribu kuulizia uongozi unaona wanashangaa kwamba mbona yuko off duty. Hapo kuna kinachoendelea juu ya paa la nyumba nyingine.

Vurugu nyumbani
Ugomvi usioisha wa mara kwa mara, pengine unaweza kushangaa hata sababu haieleweki na anazua jambo tu la ugonvi ujue kuna kitu kinamwasha anamkumbuka mshikaji wake wa huku nje ujuavyo waswahili husema vya wizi vitamu zaidi kuliwa kuliko vya mazoea.

Dalili baada ya kutoka kufanya ufuska
Anaonekana kuwa mchovu.




 

Anapiga miayo mirefu ya uchovu tofauti na miayo ya njaa.
Anatembea kwa kujivuta hasa miguu inaonekana kukosa nguvu ilivyo kawaida.
Anakuwa na wasiwasi na kujaribu kukusoma kama unaelewa kinachoendelea.
Anapenda kwenda kulala mapema hata kama hana uchovu wa kazi.
Hapendi majadiliano au maongezi ya kawaida.
Dalili tosha kwamba kuna kazi nzito ameifanya huko alikotoka kwa kuona dalili hizo hapo juu.

Uchovu wa sex huambatana na ulegevu wa macho kama una mpenzi siku ukishafanya nae afu mwangalie machoni atakuwa kachoka na macho yamemlegea !!
MWANAUME AFANYEJE NA HALI HIYO
Baadhi ya wanaume hupaparikia hali hiyo na kuzua ugonvi wa ajabu kwa mwenzake anayefanya ngono zembe nje ya mahusiano yao. Usionyeshe dalili za kufahamu kinachoendelea usije kumshtusha, bora tulia kwanza.

Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha hilo litokee kama ifuatavyo:

Kutokuwa pamoja kwa muda mrefu kwa sababu ya kikazi, masomo au uhamiaji
Ugomvi ambao humfanya mwingine asijisikie vema kwa mwenzake
Dalili za kuambikizwa magonjwa pengine hufanya mwingine aogope kuhusiana naye kama ilishawahi kutokea
Kutoridhishwa kwa mwenzake pengine kabla ya ndoa au mahusiano alikuwa na mwingine aliyemzoesha zaidi ya ufanyavyo.
Mazingira ya kazi afanyayo humletea vichocheo vya kufanya ngono zaidi hasa kwa manesi wanafinyama miili ya watu kila siku makazini na hivyo huwaamsha kufanya ufuska.
Self control inapokusekana hasa elimu ya saikolojia ambayo ndiyo kinga madhubuhi ya kujilinda.
Kuiga na kufanyia mazoea tunayosoma na kujadiliana mitandaoni ndiyo yanayoamsha silika ya kufanya ufuska.
Nk


Mwanaume mwenye akili timamu haoni sababu ya kugombana na mtu ambaye kwa utashi ana akili yake ameamua kufanya afanyavyo na pengine kufikia hatua ya kutomjali mtoto wake kama anaye.

Pengine utulivu wa mwanaume kwa kutoonyesha dalili wazi anazoona na viashiria kadhaa inaweza kusaidia kujua mengi zaidi kwa sababu mwanamke baada ya kufanya siri muda mrefu na kufikiri mwanaume hajui anaanza kutokuwa na wasiwasi na pengine kuamua kumwacha mumewe nyumbani na kwenda kulala na wanaume nje, hilo hutokea mara nyingi kwa visingizio mbalimbali kama shopping, zamu ya kazi overtime, kutembelea binamu nk.

Utaona anajifungia chumbani kwamba analala kumbe anawasiliana na hawara zake kwa simu kisha anakurupuka ghafula kutoka kwa kusema naenda mahala nitarudi, na ujua vya wili just two hours zinatosha.

Jambo la msingi mwanaume tulia na tunza kichwa na kama una familia peleka nguvu zako kulea familia yako. Kwa kawaida mambo haya mwenyewe ataumia siku yake na kujutia, na pengine mwanaume jihadhari kwani kama ulishapata dalili awali ya mambo yasiyo kawaida basi usije shtukia yamekukuta maana akishazoeana na hao wa nje pengine hawatakuwa na haja ya matumizi ya kuvaa socks.

Uchovu wa kufanya kazi ya mikono siku nzima ni sawa na uchovu wa kutoka gymnasium. Tendo la mahusiano baada ya maungo, vionjo na mwili kuridhika viungo na maungo ya mwili hulegea kitu ambacho macho huonyesha wazi ulegevu huku kulegea kwa viungo vya mwili huwa vinavyoathiriwa na ulegevu huo zaidi ni kiuno na miguu kwa mwanamke. Tofauti mwanaume huwa na uchovu wa mwili mzima maana huwa na kazi kama ya mwanariadha tofauti na mwanamke. Tofauti ya mchoko wa kazi, mazoezi na huu wa ngono ni pale mwanamke aliyetoka kwenye ngono huwa:
anapotembea amelegea miguu.
kuonekana kiuno hakina nguvu.


kujinyoosha na kujishika kiuno.
Anatembea kwa kujivuta na kujikazakaza.
akipiga miayo mirefu huku akijinyoosha kama ya kuishiwa nguvu tofauti na ya njaa.
ukimwangalia machoni macho yamelegea kwa sana tu.
ukimwangalia usoni anapenda kukwepesha macho yasikutane na yako.
Ukiendelea kudadisi kwa kumwangalia anaonekana kuwa na aibu iliyofichika.
Pia huonyesha wasiwasi fulani usoni pake kama tendo hilo la ngono ni la kuibia.
Kawaida halali usingizi ila kujipumzisha tofauti mwanaume hulala usingizi baada ya tendo.
"If you dont have confidence,you'll always find a way NOT to Win."

NJIA 10 ZA KUTONGOZA MWANAMKE AKAKUPENDA DAIMA

1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango ya hisia zake ghafla.

2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiriki na kuwaongoza.Wakati unazungumza na mwanamke tawala mazungumzo yenu na kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri kuwa nini ulichokuwa ukizungumzia.

3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza nae huku akikupatia majibu yasiyo na hisia zozote za mapenzi. Hapo utajua kunakitu, hivyo kama kwa bahati mbaya uko nae karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati ukiwa unaendelea kuongea ili asishtukie au unaweza kumuona hayuko sawa katika utoaji majibu.. kwa kawaida atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini.

4. Kumbuka hii kauli mbiu "Ucheshi/vituko si mapenzi". Wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite zaidi katika kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa unaongea. Bali jikite zaidi katika mambo yanayomfanya ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati ukonae.

5. Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye. Mwanamke huendana na mwanaume asiyekuwa muoga wa kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu.

6. Wanawake wengi hupenda kujua maoni yako kuhusiana na jinsi unavyomuona. Mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake, lakini jaribu kuwa makini ili usitamke vitu vingine vitakavyo msababishia apoteze furaha.

7. Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na mashaka na mwanaume anayempatia vitu vingi kwa wakati mmoja ama kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho baadae kitaleta madhara makubwa.

8. Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuweza kuongea na mwanamke au msichana bila kumfanya asikudharau au kuboreka, basi usitumie njia ya kumuuliza  maswali mengi katika mazungumzo yenu. Bali jaribu kueleza mawazo yako kuhusu vitu
flani

9. Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali: Badala ya kumuuliza "wewe umekulia wapi?", uliza "unaonekana kama hujakulia maeneo haya!" Hii itakusaidia wewe kufanya uchunguzi juu yake bila yeye kujua.

10. Usifiche utambulisho wako - zungumza vitu kutoka katika hisia zako, onyesha uhalisia wako katika kuzungumza na usitumie mikogo ya mtu yeyote. Njia bora ya kufikiria jinsi ya kuzungumza na mwanamke, ni kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na yakimahaba utakayopenda kuitumia, isipokuwa usimuige mtu. Kuzungumza na mwanamke sii vigumu bali nikujua ni vitu gani hasa mwanamke hapendi kuvizungumzia na vitu gani anapenda kuvisikia. Fuata maelekezo hapo juu utaona matunda yake...kisha rudi toa  maoni yako hapa.>

MAMBO YA KUFANYA UKIKUTANA NA EX WAKO
1. KUWA MUWAZI kama upo tayari kuongea na ex wako mkikutana, akuulizapo swali lolote mjibu inavyotakiwa kwa majibu mafupi yasiyo ya kubabaisha yenye ukweli mtupu. Kama ni ndiyo 'ndiyo' na kama ni hapana 'hapana' itakufanya kujenga utu wako na kukupa kujiamini.
2. USIJITONGOZESHE kama umeshaachana na mpenzi wako mpya kwa sababu ya huyo mpenzi wako wa zamani usifanye mambo ya kujitongozesha kama vile kukaa naye karibu kumchekea chekea au kumtega kwa namna yeyote ile kama ikitokea bado unampenda muache yeye akuanze na umsumbue katika kumjibu kwa sababu kama mlishaachana huna hakika lile kosa halitajirudia mkirudiana.
3. KUWA NA MAWAZO CHANYA wengi wanapokuwa pamoja na wapenzi wao waliopita hufikiria negative hujiuliza anawaza nini? Ananiona mbaya? Vipi kama anakuja kunionesha mpenzi wake mpya? Haya ni maswali machache yanayowapitia wengi vichwani mwao. Lakini kama ukiwa na mawazo chanaya unaweza kujiamini na uwezo hata wa kumface huyo mpenzi wako aliyepita kwa hiyo uwapo na ex wako fikiria mawazo chanya.
4.RELAX muda mwingi watu mnapokutana na wapenzi wenu waliopita huwa mnapanic kitu ambacho unatakiwa kufanya ni kutulia na kuvuta hewa nyingi ndani na kutoa nje hii hujenga kujiamini na kuondoa hofu iliyojengeka usoni mwako
5. USIONESHE KUKOSA FURAHA KATIKA PENZI LAKO LA SASA
usimpe nafasi x wako kujiona yeye ni muhimu sana katika maisha yako yaani ajione yeye alikuwa ni furaha yako ya pekee hata kama huyu wa sasa hana tofauti na yeye lakini jitahidi kujiweka sawa na kumuonehsa kuwa hakuna tatizo huyu wa zamani ili kujenga kujiamini kwako kila mnapozungumzia habari za mahusiano.



VITU SITA (6) USIVYOTAKIWA KUFANYA KABLA YA KULALA.

1 - USILALE UKIWA UMEVAA SAA. Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa(ya mkononi)

2 - USILALE UMEVAA SIDILIA(wanawake wanayovaa kwenye matiti ). Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.

3 - USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU. wanasayansi wanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.

4 - USILALE UKIWA UMEWEKA MAKE - UP (usoni). Hii usababisha ngozi kutopumua vizuri na kutopata usingizi kwa haraka. 

5- USILALE NA CHUPI- Hili kuwa huru na kulala ni vyema ukalala bila kubanwa na kitu chochote, chupi haitakiwi. KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....

6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. wanasayansi wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika linaweza chukua uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana hapa!.




Kwa muda mrefu nimekuwa nakusanya mawazo, kutoka kwa wapenzi mbali mbali ambao walikuwa wananisaidia uchunguzi wangu juu ya namna wanavyoshiriki tendo la ndoa na kuridhika.
Wengi kati ya hao kwa kiwango tofauti cha kuanzia mara tatu na kuendelea waliniambia kuwa hawatosheki na viwango hivyo na kuliacha swali kubaki kuwa wapenzi wakutane mara ngapi kwa wiki ili watosheke?
 Jibu la swali hili linapatikana baada ya kutambua kitu kimoja muhimu, nacho ni chanzo cha kutosheka hasa nini? Katika hali ya kawaida kutosheka kupo zaidi akilini na wala si mwilini, hii ina maana kwamba watu wanaodhani kuupa mwili mahitaji zaidi kadiri unavyodai ni njia ya kuutosheleza wanajidanganya, kwa sababu tamaa ya mwili haitoki mwilini bali kwenye akili ya mtu.
 Kwa msingi huo mtu akitaka kutosheka na penzi la mpenzi wake, ni lazima kwanza aitosheleze akili yake na kile anachopata, zoezi ambalo atalifikia kwa kutathimini uwezo wake wa kufanya mapenzi na wa mpenzi wake. Wengi kati ya watu wanaodai hawatosheki kimapenzi ni wale wanaoziachia akili zao zitake tendo la ndoa zaidi, bila kuangalia uwezo, nafasi, hisia na afya yao ya kukutana kimwili.
 Nikijibu swali la ni mara ngapi wapenzi wakutane kimwili ili watosheke nitasema hivi: KUTOSHEKA HAKUNA IDADI, bali ni kwa kila mmoja kuridhika na mwenza wake kutoka ndani ya akili yake. Kama hapa sikueleweka vizuri katika jibu hilo, maana yangu hasa ni kwamba kutosheka ni namna mtu mwenyewe anavyoyaendesha mawazo yake.

Ukiyaendesha mawazo yako kufanya mapenzi mara kwa mara, hutatosheka hata ukipewa kila saa, kwa sababu fikra zako unazijenga zaidi ya unachopata. Uchunguzi unaonesha kuwa watu ambao akili zao zimejaa mawazo ya ngono, hawawezi kulala bila kufanya mapenzi, lakini watu hao hao, ukiwapa matatizo yatakayochukua sehemu kubwa ya mawazo yao kwa mfano, kuwafunga jela, kuwafukuza kazi, kupata msiba, utashangaa wanaweza kukata wiki bila kusumbuliwa na tamaa ya ngono.

Hii ina maana kwamba unavyowaza ndivyo unavyotenda. Kitaalamu kinachofanya mapenzi ni mawazo, ndiyo maana wapo wanaojichua wenyewe kwa kutumia mawazo yao na kupata raha. Kila mmoja akijenga heshima juu ya fikra zake na kujali hisia zaidi tutakuwa na watu wengi wanaofurahia tendo la ndoa bila kujali wanalipata mara ngapi kwa wiki.

Uchunguzi wangu umebaini kuwa watu wengi hasa wapenzi wa siku nyingi na wanandoa, wanafanya mapenzi kwa sababu tu wamepata nafasi ya kuwa pamoja, lakini si kwa kuheshimu fikra na hisia zao, jambo ambalo husababisha ladha ya mapenzi kuwa ya asilimia ndogo, ukilinganisha na mahitaji halisi ya mawazo yao.
Upo ushahidi wa kutosha kwa wanandoa wengi kupata msisimko mdogo wanapokuwa na waume/wake zao katika tendo la ndoa tofauti na wanapopata wasaa wa kusaliti ndoa kwa hawara zao.
Watu wa aina hii wasiseme kuwa hawatosheki na tendo la ndoa kwa sababu wanakutana na wapenzi wao mara chache zaidi, bali wanakutana katika mhemko wa chini usioweza kulifanya tendo hilo kuwa na raha ya kutosha.
Labda msomaji wangu utaniuliza, tatizo la kupata msisimko mdogo kwa mtu unayemzoea linachangiwa na nini? Jibu litakuwa ni MAWAZO ya mtu mwenyewe.
 Ukichunguza utagundua kuwa, wapenzi wengi hasa wazoefu huwa hawapeani nafasi katika mawazo, kama wanavyotoa nafasi kwa wapenzi wa pembeni, hili ndilo tatizo linalopunguza msisimko wa kimapenzi na kuondoa hali ya kutosheka na penzi. Kama mtu anataka mpenzi wake amtosheleze, basi hana budi kumkuzia mwenza wake hisia kiasi cha kumtamani. Niulize swali,  hivi ni mara ngapi wewe unayesema hutosheki na penzi ulishakaa peke yako ukamvutia taswira  mpenzi wao kabla hajarudi nyumbani kiasi cha kupata msisimko wa kutana naye kimwili?

Wengi wetu hatufanyi hivyo, hatuna vitu vinavyotuvutia kwa wake/waume zetu, jambo ambalo hutufanya tukikutana nao kimwili kwa kutimiza desturi tu na kubaki na kiu zetu za penzi. Lakini uweli unabaki kuwa wapenzi wakikutana kipindi cha msisimko mkubwa na kupeana mahaba kwa usahihi hata ikiwa ni mara moja kwa wiki watatosheka.
Jambo kubwa la kuzingatia hapa ni kwamba wakati mwingine msisimko huo huwa hauwatokei wapenzi kwa wakati mmoja, hivyo ni jukumu lao  kushirikiana pindi mmoja anapokuwa katika hali hiyo.




SABABU 10 ZINAZOWEZA KUSABABISHA MAPENZI KUPUNGUA/KUISHA;

Mapenzi ni kitu Fulani tofauti sana kwenye hii dunia na hata nje ya hii sayari. Mapenzi kwa kiasi kikubwa sana yanasababisha hata mambo mengine kwenye hii dunia yaende sawa au yaende tofauti hata kama hayahusiani na mahusiano ya mapenzi. Vifo vingi hutokana na mapenzi, kuna magonjwa watu wanaumwa kisa mapenzi, kuna mambo watu wanayafanya si ya kawaida kisa mapenzi.


Ukiachilia mbali PESA, Mapenzi huwa yana nafasi kubwa sana kwenye kitu chochote ndani yahii dunia tunayoishi. Si masikini wala si tajiri, wote kwa pamoja wanahitaji mapenzi kutoka kwa wanaowapenda ili dunia iweze kwenda sawa kwa upande wao. Na ndio sababu hata mimi hapa ninaandika kuhusu mapenzi kwa sababu yananigusa hata mimi na hata wewe unayesoma hapa sasa.


Ukipata mpenzi anayekuelewa na kukupenda basi hata dunia iwe ya tabu vipi kwako utaiona inazunguka kama kawaida na maisha yatasonga mbele kwako kwa raha mustarehe, na hata matatizo mengine makubwa kwako huwa madogo kwa sababu tu unapenda na kupendwa kwa dhati.


Lakini ukiumizwa kwenye mapenzi au kutojaliwa kama wewe unavyojali basi hata dunia iwe na raha gani kwako utaiona chungu na hata raha ya maisha hutakuwa nayo hata kama una hela kiasi gani na hata kama una cheo kikubwa kama mfalme au hata rais. Wengine hufikia hatu ya kuteseka tu bila kuondoka kwenye mahusiano kwa kuogopa kuumizwa tena huko waendapo na wengine huondoka baadae sana wakiwa tayari wameshachelewa.


Kuna Sababu Nyingi Sana zinazoweza kusababisha mapenzi kupungua kwenye mahusiano yenu na wakati mwingine hata kusababisha kuachana. Mojawapo kati ya sababu hizo ni pamoja na hizi zifuatazo;-

1.       UONGO.
Hakuna kitu kibaya kama uongo kwenye mapenzi, uongo wa aina yoyote ile si mzuri kwa wanaopendana kwa dhati kwa sababu huweza kupunguza mapenzi na uaminifu kwa kiasi kikubwa sana miongoni mwa wanaopendana hasa kama mmojawapo akigundua kuwa mwenzi wake ni muongo/anamdanganya.
Kuna vitu vingine hata kudanganyana haileti maana wala haina tija kwa hiyo kuwa mkweli kwa mpenzi wako kwa lolote lile ni jambo jema sana kuliko kuwa unamdanganya kila siku hadi aje kugundua unamdanganya itakuwa matatizo na unaweza kusababisha kuachana.

2.       USIRI WA KUPITILIZA.
Miongoni mwa vitu hatari pia kwenye mahusiano ni pamoja na hili la usiri wa kupitiliza. Kama una vitu moyoni na upo kwenye mapenzi/mahusiano bora kabisa si vizuri kuvificha na hasa vile vinavyohusiana na mapenzi yenu moja kwa moja. Ni kweli kuna vingine huwezi kumwambia kwa sababu havina mahusiano ya moja kwa moja na mahusiano yenu ila kuna vingine ni lazima avijue ili kutoleta ugomvi au matatizo hao baadae.


Kama kuna kitu hukuwahi kumwambia na unahisi ukimwambia atakasirika ni bora umtafutie nafasi nzuri umwambie kuliko aje kugundua mwenyewe itakuwa shida sana kukuelewa, kwa mfano mpo kwenye mahusiano mwaka wa 4 sasa na kumbe kabla ya kuwa na yeye ulishawahi kuoa/kuolewa na una watoto 2 kwa huyo mke/mume wa mwanzo ni bora umwambie kuliko kumficha, anaweza kukuelewa lakini mara nyingi ni kwa shingo upande.

3.       ANA-CHEAT/ANA MTU MWINGINE.
Hakuna kitu kinauma kwenye love kama kugundua kuwa Yule unayempenda tena kwa dhati na kumjali kwa kila kitu halafu yeye kumbe ana mtu mwingine zaidi ya wewe.
Huwa inauma sana na mara nyingi huwa inasababisha hata wengine kuweza kuondoka kwenye mahusiano hata kama walikuwa bado wanapenda pale walipo. Hakuna binadamu anayependa kuwa ‘’option’’ kwenye mapenzi. 


Kamwe Usimuumize Moyo Akupendaye Kiukweli, Usimfanye Ajutie Penzi Lako, Usimfanye Anung'unike Kwa Unayomtendea, Unaweza Kuona Ni Ujanja Lakini Ipo Siku Utahitaji Mapenzi Ya Kweli Kwa Mwingine Na Hutayapata, Laana Ya Mapenzi Ipo,  Ukimuumiza Ipo Siku Nawe Utaumia Tu, Mapenzi Ya Kweli Yanawezekana Kama Ukiamua na si kwa ku-cheat.

4.       DHARAU.
Hii pia huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza mapenzi kama sio kuyamaliza kabisa. Unapokuwa kwenye uhusiano jitahidi kumpenda mtu wako kwa khali yoyote na usiwe na dharau kwake au hata kwa marafiki zake au ndugu zake au hata wengineo. Hakuna mtu anayependa mtu mwenye dharau hata awe nani.


Na hii huwa mara nyingi inatokea pale mmojawapo kati ya wanaopendana akimzidi mwenzake uwezo iwe kwa cheo, pesa,uzuri  au hata akili na mara nyingi sana inatokea kwa wasichana pale wanapokuwa wapo juu ya wapenzi wao kiuwezo, ila wasichana wanatakiwa kutambua kuwa Linapokuja Suala La Ndoa/Kuishi Na Mtu, Kwetu Sie Wanaume Huwa Hatuangalii Uzuri/Urembo Wa Mwanamke Kama Ndio Kigezo Pekee Cha Kufanya Tumuoe/Tuishi Na Huyo Mwanamke, Ingekuwa Hivyo Basi Wanawake Wote Warembo/Wazuri Wangekuwa Ndani Ya Ndoa Leo Hii, Hii Inamaanisha Kuwa Hata Ukiwa Mrembo/Mzuri Hutakiwi Kujisahau Ukaona Umeshafika...Utapotea ukileta dharau kwa uzuri wako au uwezo ulionao.

5.       MROPOKAJI/ASIYE MSIRI.
Hakuna kitu kinachoweza kumfanya mwenza wako kukukimbia au hata kukosa uaminifu na wewe kama akija kugundua kama wewe ni mropokaji na huna ‘’kifua’’ hasa kwa yale mambo ambayo ni ya chumbani na hayakutakiwa kutoka nje. Hakuna mtu anayependa siri zake kutoka hadharani na huwa inaumiza sana kwenye mapenzi kumpa mtu siri zako then yeye anaenda kusimulia.


Mambo mnayafanya mkiwa wawili tena ndani lakini kesho unaenda mtaani unakuta kila mtu anajua mlichofanya tena wanakuhadithia kama walikuwepo vile, hiyo si kitu nzuri na itakufanya ukimbiwe na kila mpenzi unayempata.


6.       TAMAA/KUKOSA UVUMILIVU.
Tamaa ni kitu kingine ambacho hufanya mahusiano mengi kukosa nguvu na mengine kuvurugika kabisa. Kama mpo kwenye mapenzi na mmeamua kupendana kwa shida na raha basi haitakiwi mmoja wenu kuwa na tama na kukosa uvumilivu hata kwa yale mambo yanayoweza kuzuilika.


Kama mpenzi wako ni wa hali Fulani na umeamua kuwa naye basi usiwe na tama kwa vitu vingine ambavyo vinaweza kukusababishia mahusiano yako kukosa nguvu na kufa kabisa. Amini kuwa ipo siku mtakuwa na vitu kama unavyotamani kwa kuongeza bidii kutafuta na kushauriana nini cha kufanya lakini si kwa kutafuta ‘’shotcut’’/njia nyepesi nyepesi zinazoweza kuku-cost hapo baadae.

7.       KUKOSA MSIMAMO.
Hii kitu huwakuta wengi sana kwenye mapenzi ya siku hizi. Nadhani ni hali halisi ya dunia ya sasa inachangia pia pamoja na teknolojia tuliyonayo ya kutuwezesha kufanya yale tunayoyaona kwenye mitandao na vyombo mbali mbali vya habari.


Wapenzi wengi siku hizi wamekosa msimamo kwenye mapenzi/mahusiano yao na unakuta tu mmoja anakuwa na wapenzi zaidi ya mmoja na wanakuwa hawafahamiani huku kila mmoja akijua kuwa yeye ndo kila kitu kwa mpenzi wake.

8.       KUTOJALI/KUTOKUWA NA MSAADA.
Hii pia kwa kiasi kikubwa inaumiza sana na kupelekea kushuka kwa thamani ya mapenzi miongoni mwa mahusiano mengi haa duniani. Kama kweli unampenda mpenzi wako basi msaidie anapopata matatizo na umjali na kumchukulia kama mpenzi wako na mtu wako wa karibu na sio kukimbia majukumu bila sababu zote za msingi.


Kama huwezi kujali na kusaidia basi usiingie kwenye mahusiano ni bora ukae mwenyewe kuliko kuwepo sehemu usiyotakiwa.

9.       UBAHILI.
Huna sababu yoyote ya kuwa na pesa na mpenzi wako akawa anapata tabu kama vile humuoni. Sijasema utoe pesa hata kwa mambo yasiyo na msingi lakini at least utimize majukumu yako kwa mpenzi wako kila unapohitajika.


Kuna vitu vingine hata huhitaji kuambiwa kama unatakiwa kuvishughulikia, ni wewe mwenyewe tu kuwa responsible kumhudumia mpenzi wako. Na hii huwa ina-apply sana kwa wavulana kutokana na kasumba iliyojengeka na mila tulizozikuta.

10.   USHOGA/USAGAJI
Hii ipo wazi kabisaaaaaaa…. Hakuna mtu anayependa mtu wake awe Shoga kama ni mvulana au awe Msagaji kama ni msichana. Ni aibu kubwa sana kwa mpenzi wako kuwa katika makundi haya mawili na sidhani kwa akili ya kawaida kama unaweza kufurahia hiki kitu kama utakisikia au kama utakishuhudia kwa macho yako.

No comments:

Post a Comment