PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Friday, July 25, 2014

Diamond Platnumz To Release A Second Video For "Mdogo Mdogo". Find Out Why



Diamond Platnumz gifted his fans and especially his mother who is his
biggest fan with two videos on her birthday. Mdogo Mdogo and another
massive collaboration with Iyanya dubbed ‘Bum bum’.

Both videos were on point although MdogoMdogo sparked alittle
controversy for his choice to use a white lady as the video vixen.




Friday, July 18, 2014

NUNUA KUKU WENYE AFYA BORA.

Kuku wanapendeza wakiwa na afya na malezi yasiyohusisha vyakula vyenye kemikali ili kuwakuza. kuku tunaouza sisi ni kuku ambao wamelishwa vyakula vya asili na hawajapewa madawa ya kuwakuza. Kuku hawa wana ladha nzuri ile ambayo ukila hutajutia. Tupo Dar es salaam, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0716666252. 






Monday, July 7, 2014

NAMNA YA KULIMA MAHARAGE KWENYE PLASTIKI.


Kilimo cha plastiki kinakuwezesha kulima hata maharage popote ulipo na ukavuna kuliko mtu ambaye amelima shambani. Hii ni kutokana na virutubisho vya asili ambavyo tunaviweka kwenye udongo tunaotengeneza kutokana usindikwaji wa mbolea. Ukiangalia maharage yetu hapo chini yamezaa mengi mara tatu zaidi ya maharage ya kawaida, kwasababu ya utaalamu tulio nao. Hii ni teknolojia mpya ambayo inalenga kubadilsha maisha ya watu wote kwani waweza kula vyakula asilia kwa gharama nafuu. Kwa wakulima ambao wangependa kulima kwa kupitia teknolojia yetu pia wanauwezo wa kuvuna kuliko kawaida. Wasiliana nasi kwa namba 0713651858/ 0713657501






FAHAMU KILIMO CHA NDIZI ZENYE UBORA NDANI YA PLASTIKI.


Kilimo cha ndizi kimekuwa kikitumia muda mrefu ili mtu aanze kula matunda ya kazi yake, hii ni kutokana na ukosefu wa virutubisho vya asili vinavyohitajika, lakini pia watu wamekuwa wakitumia eneo kubwa na gharama nyingi ili kulima mpaka kufikia wakati wa kuvuna ndizi. 
Tumekuja na teknolojia mpya ambayo inamuwezesha mkulima kutumia miezi michache sana tangu anapo panda mpaka kuvuna ndizi, tena ndizi yenye afya kwani tunatumia virutubisho vya asili. Huhitaji kuwa na eneo kubwa ili ule ndizi, kilimo cha plastiki ni suluhisho kwako kwani tunatumia eneo dogo sana lakini litakupa matokeo makubwa. 
Kwa wale wenye mashamba ambao wangependa kulima kwakutumia teknolojia yetu, watavuna ndizi mpaka washangae.
Tanzania bila umaskini inawezekana. Wasiliana nasi kwa namba 0713651858/0713657501. Hizo ni baadhi ya picha za ndizi iliyopandwa kwenye chombo ikiwa ndogo mpaka ilipovunwa.




JIPATIE MCHAICHAI WENYE UBORA

Kilimo cha mchaichai kimewasumbua watu wengi, lakini sasa tumekuja na suluhisho. Tunatumia udongo tunaoutengeneza kwa kutumia mbolea taka tunayoisindika, hivyo kutumia ndoo kupanda mchaichai ambao utakuwa na mvuto na afya bora kwani utakuwa unapata virutubisho vya asili na hivyo kuufanya udumu kwa miaka mitatu. 
Waweza kujipatia mchaichai wako na tukakuelekeza namna ya kuutunza na ukaendelea kutumia kwa matumizi ya kilasiku bila kuisha. Waweza kutumia eneo dogo na ukavuna mchaichai ambao utauza na kilamtu ataupenda kwa namna utakavyoukuwa na harufu na ladha nzuri pia. Kama ungependa kufahamu zidi au kupata huduma hii wasiliana nasi kwa namba 0713651858/ 0713657501




Wednesday, July 2, 2014

MKAA WA KARATASI UNAODUMU MPAKA MASAA SABA

Huu ni mkaa wa karatasi ambao umetengenezwa kwa ujuzi wa hali ya juu, mkaa huu unadumu kwa masaa matatu mpaka saba baada ya kuwashwa na kutoa kiwango kilekile cha moto. unafaa kwa matumizi ya nyumbani, lakini pia kwa matumizi ya biashara. kama wewe ni mtumiaji mkubwa wa mkaa au kuni, sasa ni wakati wako kutumia fursa hii kupunguza gharama na kulinda afya yako kutokana na moshi. mkaa huu unatumia jiko maalumu ambalo pia kuna size mbalimbali kutokana na matumizi ya mteja.
 Hakuna haja ya kutumia mkaa unaotokana na miti kwani hata ubora na gharama ni tofauti kabisa. mkaa huu umetokana na karatasi zinazosindikwa kwa muda mrefu zikaondolewa kemikali. Kwa wamiliki wa shule, bakery, wenye migahawa, cafeteria, wakaanga samaki, wafanyabiashara wote wanaotumia mkaa au kuni na watanzania wote kwa ujumla, tulinde mazingira yetu kwa kupunguza matumizi ya mkaa na kuni. 
Tupo Dar es salaam, ofisi zetu zipo Mabibo. kwa mawasiliano nasi piga 0713651858 / 0798282182 / 0713657501 / 0798282181. emmanuel_mgonja@yahoo.com.