PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Sunday, December 29, 2013

NEED EXRTA ENERGY? Try FAB. Natural Aloe vera/Guarana Drink!!!


The Unique ADX7 Technology
ADAPTOGENS
- Over 40 years of research in USSR, China & Korea
- 3 Bn usd have been injected into the research
- Over 5,000 Clinical Trials Conducted
- Over 500,000 People have Participated in the Research
- FDA & European Medicines Agency approved
BENEFITS OF FAB
- Increasing Longevity, Libido, Memory & Well-being
- Improves Mental Performance & Ability to Withstand Stress
- Anti-oxidant, anti-depressant effects
- Helps lower BP & Sugar levels
- Suppress Cortisol (stress) Hormone
- Protects the Liver, Kidneys & Heart
For delivery and tasting call 0713651858 or whatsapp 0713651858





FAB


Do you want to lose weight? You can lose 9kg in 9 days. +255713651858


Monday, December 23, 2013

UMEME KUPANDA MWEZI JANUARY

 Watanzania wanataraji kuuanza mwaka 2014 kwa
machungu ya kupanda kwa bei ya umeme,
ambapo (leo) mamlaka ya udhibiti wa nishati na
maji, EWURA imetangaza rasmi ongezeko la
gharama za nishati hiyo kwa asilimia 39.19,
kuanzia January mosi, mwakani. Bei za umeme zinazotumika hivi sasa
ziliidhinishwa January mwaka 2012, ambapo
zilipanda kwa asilimia 40.29, ikilinganishwa na
maombi ya shirika la umeme, TANESCO
lililopendekeza kupanda kwa bei kwa asilimia 155.
Watumiaji wakubwa wa umeme wa majumbani, biashara na viwanda vidogovidogo, ambao wako
kwenye kundi la wateja la T1, wanatarajia
kuathirika zaidi ambapo ongezeko kwenye kundi
hilo ni shilingi 85 kwa kila unit.
Kundi la T3-MV lenye wateja wakubwa
waliounganishwa katika msongo wa kati, bei ya nishati imeongezeka kwa shilingi 45 na kundi T3-
HV la wateja waliounganishwa kwenye msongo wa
juu wakiongezewa kwa shilingi 53 kwa unit.
Kwa mujibu wa TANESCO, maombi haya yanalenga
kuliwezesha shirika kupata fedha za uendeshaji na
uwekezaji wa miundombinu, kujiwezesha kukopesheka kwa masharti nafuu, kuweza
kukabili ongezeko la mahitaji ya umeme kwenye
gridi ya taifa na uwezo wa kufanya marekebosho
ya miundombinu ya mara kwa mara.
Hasara kwenye shirika hilo la TANESCO
linalojiendesha kwa hasara hivi sasa imefikia shilingi Bilioni 223.4, toka Bilioni 47.3 la mwaka
2010, na deni la zaidi ya shilingi Bilioni 400, huku
pia shirika likigubikwa na kashfa ya ubadhirifu wa
fedha.
Agizo hili la kupanda kwa bei za umeme, linafuta
agizo la January 24, 2013 la TANESCO linalohusu marekeboshi ya bei za umeme.