PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

PATA POWER BANK ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU ZAIDI

Wednesday, October 31, 2012

SERIKALI YAJA JUU MAFUTA KUADIMIKA



SERIKALI imeagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kampuni zote zitakazokaidi kuuza mafuta kwa sasa, hali iliyosababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi alitoa tamko hilo jana Dar es Salaam baada ya kupokea taarifa ya Ewura na Kampuni inayoratibu uagizaji wa mafuta wa pamoja (PIC) iliyoonesha kuwa kuna akiba ya mafuta inayotosha kutumika kati ya siku 10 na 14.
“Hatuwezi kuona wananchi wanateseka wakati kuna mafuta ya kutosha nchini, wale ambao hawataki kuuza chukueni hatua haraka,” alisema Maswi.

Awali, Mkurugenzi wa Petroli wa Ewura, Godwin Samwel alipoulizwa sababu za kukosekana kwa nishati hiyo, ambako ilielezwa kuwa jana baadhi ya mikoa haikuwa na nishati hiyo kabisa, alijitetea kuwa ni kweli mafuta yapo.
Samwel alifafanua kuwa uhaba huo umetokana na kampuni kubwa kuamua kuuza mafuta hayo kwa vituo vya kampuni zao na kuvikatalia vituo ambavyo havina kampuni kubwa kununua mafuta hayo, hali ambayo imezua kizaazaa cha mafuta nchini huku mikoani hali ikiwa mbaya zaidi.

“Ndio maana utakuta vituo vingine vina mafuta na vingine havina,” alisema Samwel na kutaja sababu nyingine ya upungufu huo kuwa ni kuwepo meli zinazopakua mafuta ya kwenda nje ya nchi na migodini kwa muda mrefu katika boya la KOJ wakati meli zenye mafuta ya ndani zikisubiri.
Naye Mwenyekiti wa Bodi ya PIC, Shaniff Mansour alisema hadi juzi jioni kiasi cha mafuta kilichopo nchini kilikuwa dizeli lita milioni 34.1, petroli lita milioni 20.6, jet 1 lita milioni 15.6 na mafuta ya taa lita milioni 5.2.
Mansour alisema kiasi hicho cha mafuta kinatosha kutumika ndani ya siku 10 na akaongeza kuwa kuanzia jana meli nyingine yenye mzigo wa mafuta imeanza kupakua mafuta katika boya la KOJ ambako dizeli ni tani 23, 700 na petroli ni tani 14, 800 hali inayozidi kuongeza upatikanaji wa bidhaa hiyo.
Mansour pia alisema mafuta ambayo yako nchini yakisubiri kusafirishwa nje (Transit) ya nchi ni mengi zaidi kuliko mafuta ya ndani na akataja kuwa mafuta ya nje; dizeli ni lita milioni 46.6, petroli lita milioni 31.3 na jet 1 ni milioni 4.9 na mafuta ya taa ni lita milioni 1.2.

Kutokana na hali hiyo, mbali na kuwabana wanaosusa kuuza mafuta, Maswi aliagiza Serikali ichukue nusu ya mafuta yanayosafirishwa nje ya nchi ili yatumike hapa nchini.
“Naagiza kampuni ziuze mafuta mikoani na hata vituo ambavyo havina kampuni mama viuziwe mafuta kupunguza tatizo hili,” alisema Maswi na kuitaka Ewura kuhakikisha magari ya mikoani yanapakia mafuta kwenye maghala yalikohifadhiwa mafuta.
Aliisisitizia Ewura kuwa kampuni ambayo haitaki kuuza mafuta ichukuliwe hatua haraka.
Alitaka pia agizo la kuuza mafuta yaliyokuwa yanasafirishwa nje lianze kutekelezwa haraka na akashangaa kuwa haijawahi kutokea mafuta yanayosafirishwa nje yawe mengi kuliko yanayotumika ndani ya nchi.

Thursday, October 18, 2012

GARI LA ASKOFU NA KANISA VILIVYO CHOMWA MOTO ZANZIBAR.

 Hili ndilo gari la askofu wa kanisa lililochomwa moto zanzibar, kufuatia vurugu zinazofanywa na baadhi ya wafuasi wa dini ya kiislamu wanaojitambulisha kwa jina kuwa kikundi cha uamsho.


Hili ndio kanisa lililo chomwa moto zanzibar

Friday, October 12, 2012


Vurugu zinaendelea eneo la Mbagala Kizuiani ambapo baadhi ya Waislamu wameandamana kupinga kitendo cha kijana mmoja kukojolea Quran.
Kwa sasa mabomu ya machozi yanapigwa ili kuwatawanya waandamanaji hao ambao wamezingira kituo cha Polisi wakitaka kijana huyo atolewe la sivyo watakichoma moto kituo hicho.

BADO HALI SIO SHWARI MBAGALA

vijana wawili wenye umri wa miaka 14 na miaka 12 ndio wamesababisha hali kutokuwa shwari Mbagala. Chanzo cha fujo hizo ni mabishano ya madogo wawili wenye imani tofauti mmoja akiwa ametoka madrasa akaenda uwanjani kuangalia watu wachezao mpira, hapo akakutana na kijana mwingine ambapo wakaanza mabishano ya dini, yule mwenye imani ya kiislamu akimwambia mwenzake kwamba eti ukikojolea msaafu unakua chizi yule dogo mwingine kaukojolea kweli na hajawa chizi, Yule mwenzake alivyoona kashindwa ikabidi aende msikitini akawatonya waislamu kwamba kuna dogo kakojolea msaafu, Si unajua tena wakatoka waislamu wenye siasa kali wakataka kumuua dogo polisi wameingilia kati na kumuokoa huyo dogo sasa ni vita ya mabomu ya machozi ya Polisi na mawe yanayorushwa na watu manaodhaniwa kuwa wenye imani ya kiislamu, Hali sio shwari kabisa magari kibao yamevunjwa vioo na fujo bado inaendelea mpaka sasa.

Hali kama hii sio nzuri ikiendelea kwani sisi watanzania hatupaswi kufikia huko. kamanda wa kanda maalumu Kova amezungumzia tukio hilo na akalifafanua vyema akisema "uchunguzi unaendelea kufanyika lakini mpaka sasa imeonekana kuwa hakuna sababu ya kupandikizwa kuhusu tukio hilo, bali ni utoto na akili za watoto waliokuwa wanabishana. watanzania tusilichukulie jambo hili kwa namna isiyo ya kawaida, nawasihi watanzania waelewe kuwa hilo ni jambo lililopo mikononi mwa vyombo vya dola".
Watanzania tuwe wavumilivu kwani migogoro ya dini kama hii imezipelekea nchi nyingi kupoteza amani ambayo hawajaweza kuirudisha tena mpaka sasa. jamii ijaribu kuelewa chanzo ni ubishani wa watoto hao wawili, ni jambo linaloeleweka hivyo hakuna haja ya kufanya vurugu.

Thursday, October 11, 2012

TAMBUA MAISHA YA MWANAUME ASIYECHUJA

Radamel Falcao Garcia, alizaliwa 10-02-1986 katika jiji la Santa Marta, nchini Colombia. Jina lake la utani Mfalme wa Europa, kutokana na kiwango cha ajabu alichokionesha katika michuano hiyo. Falcao akiwa katika timu ya U-17 nchini Colombia, aliteka hisia za timu ya River plate ya nchini Argentina ambapo alimsajili wakati alipokuwa akiendelea na masomo yake ya uandishi wa habari katika chuo cha Parlemo. akiwa na umri wa miaka 19, alifunga magoli mawili katika mechi ya kwanaza aliyochezea timu yake ya River Plate mwaka 2005. alipata majeraha na kwa muda mrefu. mwaka 2007 Falcao alirejea na alifunga magoli natatu katika mechi moja. aliendelea kuonesha uwezo wake na hatimaye katika mechi ya wapinzani wa jadi kati ya River Plate na Boca Juniors iliyopigwa 07-10-2007, alifunga goli muhimu katika mchezo huo. tangu hapo Falcao amekuwa tegemeo katika timu ya taifa ya Colombia.

Tarehe 15-07-2009 Falcao alihamia Fc Porto kwa ada ya uhamisho paun milion tatu.aliibuka kuwa mfungaji bora wa pili wa ligi ya ureno kwa kufunga magoli 25. akiwa na timu ya porto aliiwezesha kutwaa taji la ligi ya Europa akiwa amefunga magoli 17. Tarehe 18-08-2011 Falcao alimaliza msimu kwa kufunga magoli 34. katika mashindano yote katika msimu huo. 2010-2011 Falcao alifunga magoli 17 katika michuano ya Europa na kufunika record ya Jurgen Klinsmann ya goli 15 katika michuano hiyo.

2011-2012 Falcao alihamia katika timu ya Atletico madrid kwa ada ya paun milion 40. falcao alifunga magoli 36 katika kipindi cha msimu wake wa kwanza. katika msimu wa 2012-2013 Falcao ameweza kuipa timu yake ya Atletico Madrid ubingwa wa Europa na pia ubingwa wa Uefa super cup dhidi ya Chelsea ambapo katika mechi hizo za fainali alipiga magoli matatu. Falcao anawaniwa na clud kubwa barani Ulaya. timu yake imeweka thamani yake kuwa ni euro milion 60.

Monday, October 8, 2012

WAJUE WANAUME HATARI HISPANIA





Hakuna utata juu ya uwezo wa Lionel Messi, Christiano Ronaldo na Radamel Falcao. wanaume hao watatu wamekuwa gumzo barani ulaya kwa namna ambavyo wamekuwa wakijua kucheka na nyavu kila mara wawapo uwanjani. mpaka sasa katika ligi ya Hispania , maarufu kama La Liga wanaume hao wanaongoza kwa kufunga magoli, huku kila mmoja akiwa na magoli nane katika ligi. Messi ameiwezesha Barcelona kuongoza ligi hiyo ikiwa na point 19. C. Ronaldo ameiwezesha Real madrid kuwa na poit11 ikiwa inashika nafasi ya 5. Radamel Falcao ameiwezesha timu yake ya A.Madrid kuwa na point 19 ikiwa katika nafasi ya pili. ushindani wao ni mkubwa sana na umekuwa ni mvuto kwa washabiki wa soka barani ulaya. Je, nani ataibuka kuwa mfungaji bora wa La liga?

Sunday, October 7, 2012

MECHI ZA VISASI KUPIGWA LEO


Manchester united itakuwa na kibarua kigumu cha kusaka point kwa Newcastle ambao wamekuwa na kikosi kizuri kanacho ongozwa vyema na mshambuliaji Demba Ba, ambaye amekuwa na uchu wa magoli. hii ni mechi itakayokuwa na mvuto kuitazama pia kwani mshambuliaji wa man u, R. Vanpersie nae yupo vizuri. kocha wa man u, ameuzungumzia mchezo huu akisema " Newcastle ni timu nzuri, na ina washambuliaji wazuri, lakini sisi pia tuna wachezaji bora zaidi, tutajitahidi kupata ushindi". mchezo huu utapigwa majira ya saa kumi na mbili jion.






mechi yenye kuteka hisia za mashabiki wengi wa ufaransa itazikutanisha Marseille na PSG, huku ukitegemewa kuwa mchezo wenye mvuto wa aina yake kwani, timu zote hizo zipo katika kiwango cha hali ya juu. PSG inatazamwa kwa jicho la tatu hasa kutokana na kumilikiwa na mabilionea ambao wameitumia pesa kusajili vile walivyopenda. mchezo huu utapigwa majira yasaa nne kamili.

vita nyingine ni kati ya Ac Milani na Inter milan, ambazo zitambana leo katika uwanja wao wa nyumbani. hii ni mechi ya wapinzani wa jadi na mara nyingi matokeo ya mechi hii huwa haya angalii sana fomu za timu husika. ni mchezo utakaozikutanisha timu hizo huku zikiwa hazipo katika kiwango bora, ikilinganishwa na misiu mingine. mchezo huu utapigwa majira ya saa tatu na nusu.




  Barcelona itakuwa nyumbani leo ikiwakaribisha mahasimu wao wakubwa Real Madrid, katika mchezo unaotazamiwa kuwa na upinzani wa hali ya juu kama ambavyo imezoeleka. barcelona haijapoteza mchezo hata mmoja, imeshinda mechi nane na kujichukulia points 24. Real Madrid hawakuanza msimu huu vizuri lakini nao wamerudi katika kiwango kizuri kwani katika mechi mbili za mwisho imeweza kufunga magoli tisa.  Vita nyingine itakuwa kati ya Lionel Messi na Christiano Ronaldo, ambao wameendelea kuchuana vikali kwani kila mmoja ameshafunga magoli sita katika ligi, wanachuana vikali kuhakikisha kila mmoja anaibuka kuwa mchezaji bora.




  




Saturday, October 6, 2012

MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA ENGLAND. CHELSEA , WBA ZAUA.




Chelsea imezidi kujikita kileleni, baada ya kuitandika Norwich bao 4-1. Alikuwa ni Grant Holt aliyezifumania nyavu za chelsea kunako dakika ya 11. Fernando Torres ndiye aliyefungua karamu hiyo ya magoli kunako dakika ya 13. Frank Lampad aliachia mashine safi sana kunako dakika ya 22 nakufanya matokeo kuwa mbili bila. dakika ya 31 Eden Hazard aliiandikia chelsea bao la tatu. Branislav Ivanovic alimaliza karamu hiyo kwa kupachika goli zuri kunako dakika ya 75.

Swansea yatoshana nguvu na Reading kwa bao 2-2.  ulikuwa ni mchezo uliotawaliwa na kasi hasa baada ya reading kutangulia kupata magoli mawili kunako dakika ya 30, goli llilowekwa kimyani na Pavel Pogrebnyak. dakika ya 44, Noel Hunt aliipatia Reading goli la pili. Swansea walijipanga vizuri na dakika ya 71, Michu aliifungia swansea na kunako dakika ya 78 Wyne Routledge aliisawazishia swansea goli la pili.

West Bromwich Albion imeendelea kufanya vizuri kwa kuitandika QPR 3-2. Ilikuwa ni mechi yenye presha ya hali ya juu hasa kwa kocha Mark Hughes ambaye kibarua chake kimeendelea kuwa na mashaka kutokana na kufanya vibaya katika ligi.James Morrison aliipatia WBA goli la kuongoza kunako dakika ya 4. alikuwa ni Zoltan Gera alyeandikia WBA goli la pili kunako dakika ya 21. QPR waliamka na dakika ya 35 Adel Taarabt aliipatia goli. kunako dakika ya 82 Youssufu Mulumbu aliipatia WBA goli la tatu. dakika ya 92 Esteban Granero aliipatia QPR goli la pili,lakini haikusaidia kitu kwani kipigo kilibaki palepale.

Wigan athletic imetoshana nguvu na Everton 2-2. ilikuwa ni wigan iliyoanza kufumania nyavu dakika ya 10, kupitia kwa Arouna Kone. Everton wakasawazisha kupitia Nikica Jelavic dakika ya 11. Wigan wakaongeza goli dakika ya 23 kupitia kwa Franco Di Santo. Everton walpata penalt na Leighton Baines akaisawazishia kunako dakika ya 86.


CHELSEA, WIGAN, READING & WESTBROMWICH ALBION WAONGOZA, SASA NI MAPUMZIKO

10' Arouna Koné1 - 0
11'
1 - 1 Nikica Jelavic
23' Franco Di Santo2 - 1

MAN CITY YAUWA 3-0

 Manchester city iliyokuwa incheza nyumbani dhidi ya sunderland imeibuka na ushindi wa 3-0. magoli yaliyofungwa na Aleksandar Kolarov 5', Sergio Aguero 60' na James Milner 89'. Ushindi huo unaifanya Man city kufikisha points 15, huku ikiwa imecheza michezo 7 ikifunga michezo 4 na kutoa droo michezo 3. man city inashikilia nafasi ya pili mpaka sasa.

KIVUMBI KUTIMKA TENA LEO ENGLAND

  • Manchester city ikiwa nyumbani leo itakuwa na kibarua kigumu itakapo wavaa sunderland katika mchezo unaotegemewa kuwa mkali na wenye upinzani wa hali ya juu, hasa ikizingatiwa kuwa sunderland imekuwa na mwanzo mzuri msimu huu. Adam Johnson aliyekuwa mchezaji wa man city amehamia sunderland hivyo atakuwa na hamu ya kulipiza kisasi na kudhihirisha kuwa man city hawakuona uwezo wake. striker wa sunderland Steven Fletcher, ambaye yupo kwenye fomu nzuri sahv anatarajiwa kuipa wakati mgumu pia timu ya man city. tutegeme kuona mechi nzuri na yenye ladha.

    10/6/12 7:45 AM 
    Chelsea itakuwa na kibarua chepesi pale darajani hasa pale itakapo pambana na Norwich City ambayo haitarajiwi kuleta upinzani mkali dhidi ya chelsea ambayo ipo vizuri na imeanza vizuri msimu huu. itabidi Norwich ifanye jitihada zaidi ili kujiepusha na karamu ya magoli ambayo inaweza kuipa chelsea.
    -
  • 10/6/12 10:00 AM 
    -Swansea imekuwa ni timu inayocheza soka safi la chini lenye pasi nyingi zenye mvuto, itapambana na Reading ambayo imepanda daraja msimu huu, lakini bado haijawa na mwanzo mzuri katika ligi. Swansea wana nafasi nzuri yakushinda mchezo wa leo ambao watacheza wakiwa nyumbani.
  • 10/6/12 10:00 AM
    -Mechi ya West Bromwich Albion dhidi ya QPR itakuwa ngumu sana hasa upande wa QPR kwani wamefanya usajili mzuri msimu huu, liakini bado hawajapata matokeo mazuri, kitu ambacho kinamfanya kocha wa QPR  Mark Hughes awe na wakati mgumu wa kutafuta matokeo dhidi ya timu ambayo imeanza vizuri ligi msimu huu.
  • 10/6/12 10:00 AM
    -Wigan watakuwa na kibarua kigumu pale itakapo wakaribisha Everton ambao wapo kwenye kiwango cha hali ya juu msimu huu. hii itakuwa mechi yenye msisimko mkubwa na soka safi litapigwa.
  • 10/6/12 10:00 AM
    -Andy carrol anatarajiwa kuiongoza west ham dhidi ya Arsenal ambayo ipo vizuri sana msimu huu, hasa baada ya kufanya usajili mzuri ambao umedhihirika kuwa bora hasa pale wachezaji hao waliosajiliwa msimu huu kuonesha kiwango kizuri. hii pia itakuwa mechi nzuri yakuvutia.
  • 10/6/12 12:30 PM

Thursday, October 4, 2012

MATOKEO YA LIGI YA EUROPA



MATOKEO YA LIGI YA EUROPA
61'
1 - 0

90'
2 - 0

23'
1 - 0

46'

1 - 1
70'

1 - 2
72'

1 - 3
75'
2 - 3

47'
Salim Cisse
1 - 0

90' +3'

1 - 1

90' +3'
1 - 0



18'
1 - 0

25'

1 - 1
Baroni Cristian
40'

1 - 2
71'

1 - 3
74'
2 - 3

87'

2 - 4
Baroni Cristian

22'

0 - 1
Edwin Ouon
42'
1 - 1

61'
Michel Lucas Mendes
2 - 1

76'
3 - 1

90'
4 - 1

90' +3'
5 - 1


57'
1 - 0

70'
2 - 0


16'
1 - 0

40'
2 - 0

49'
3 - 0


58'
Jo Inge Berget
1 - 0

88'
Daniel Chukwa
2 - 0


83'
Stefan Nikolic
1 - 0


5'
1 - 0

41'

1 - 1
45'
2 - 1

75'

2 - 2
83'

2 - 3

19'
1 - 0

41'
2 - 0

53'
3 - 0

10'

0 - 1
38'

0 - 2
70'
1 - 2

84'
2 - 2

16'
Paulo Vinicius
1 - 0

21'
Filipe Oliveira
2 - 0

35'
Nermanja Nikolic
3 - 0


45'
1 - 0

48'
Alexander Ryazantsev
2 - 0


10'

0 - 1
Phillippe Coutinho
30'

0 - 2
Chukwuma Joel Obi
42'

0 - 3
53'
Nicolas Canales
1 - 3


8'
Shimon Abuhazira
1 - 0

17'

1 - 1
22'

1 - 2
Luciano Fabian Monzon
32'

1 - 3
51'
Lior Levi
2 - 3

66'
Shimon Abuhazira (pen)
3 - 3

90' +2'

3 - 4

25'
1 - 0

41'
Bekim Balaj
2 - 0

56'
3 - 0

72'

3 - 1

62'
1 - 0

76'


Jovan Vidovic
77'
Hernanes (pen miss)




35'

0 - 1
77'
1 - 1


67'
Edmar Aparesida
1 - 0

80'
Ribeiro Cleiton Xavier
2 - 0

90' +3'



76'

0 - 1

9'


10'

0 - 1
Herrero Javaloyas Michel (pen)
21'
1 - 1

49'
2 - 1


7'
Nikola Djurdjic
1 - 0

43'
Nikola Djurdjic
2 - 0

74'

2 - 1
88'

2 - 2